Monday, May 24, 2010

ANAOSHWA KWA KIFAA CHA KISASA


Baada ya mteja kunyoa katika mtindo anaoupenda, hatua inayofuata na kusafishwa kwa kuoshwa na maji safi kabisa huku kifaa cha kisasa kikitumika kwa kazi hii.

No comments:

Post a Comment