Friday, May 7, 2010

HATA WATOTO WANA SEHEMU YAO MAALUM

Unaona jinsi anavyoshikwa kichwa kwa staha mpaka raha!!

Mara nyingi watoto huwa wanasumbua mno pindi wakianza kunyolewa lakini hapa dogo katulia utadhani mtu mzima bwana!!Lazima kuna kitu tu!!


No comments:

Post a Comment