Friday, April 8, 2011

MASHINE ZA KUFULIA ZA KISASA

Mfanyakazi wa BM Barbershop akiwa amepozi mara baada ya kumaliza kazi yake ya kufua kwa kutumia mashine za kisasa na kisha kupanda nguo zote.
Akiandaa Mashine tayari kwa kuanza kazi ya kufua.
Akiotoa nguo kwenye Mashine.
Akizikunza na kuzipanga vyema kabisa mara baada ya kumaliza kazi yake.
Mashine za Kisasa za Kufua na kukausha nguo.


No comments:

Post a Comment