Friday, April 8, 2011

BM EXECUTIVE BARBERSHOP & BEAUTY CENTRE





















BM EXECUTIVE BARBERSHOP

MASHINE ZA KUFULIA ZA KISASA

Mfanyakazi wa BM Barbershop akiwa amepozi mara baada ya kumaliza kazi yake ya kufua kwa kutumia mashine za kisasa na kisha kupanda nguo zote.
Akiandaa Mashine tayari kwa kuanza kazi ya kufua.
Akiotoa nguo kwenye Mashine.
Akizikunza na kuzipanga vyema kabisa mara baada ya kumaliza kazi yake.
Mashine za Kisasa za Kufua na kukausha nguo.


Tuesday, June 22, 2010

BM Barbeshop

Wadau wakiwa wamekaa tayari tayaji kwa kwenda kuchukua jumla mara baada ya kuwekwa sana na vijana kazi wa BM Executive Barbershop.
Wadau wakifanya malipo baada ya kutoka bomba kabisa.

KARIBUNI BM EXECUTIVE BARBERSHOP & BEAUTY CENTRE

sehemu ya kuegesha magari kwa wateja wajao BM Barbershop mapokezi utamkuta dada huyu mremboSehemu ya Mapumziko huku ukiendelea kucheki mechi za kombe Dunia korido ya kuvutia V.I.P
Deluxe Section
ukataji nywele kwa Fashion tofauti tofauti. Deluxe Shampoo Sectionsehemu ya kurekebisha kucha za mikono na miguu.
mwanadada akisubiri kupatika huduma.sehemu ya Massage & Full Facial
Sehemu ya Finishing.
Mashine ya kusafishia viatu.
sehemu ya kupigiwa sop sop watoto
mtoto akiwa katulia wakati akifanyiwa sop sop.
mtoto akioshwa kwa Shampoo.
Shampoo unit VIP section
Mashine ya Kukaushia nguo

Mashine za kufulia nguo

kila baada ya miezi 4 lazima kufanya Fumigation kama aonekanavyo mtaalam huyu.
TEMBELEA BM EXECUTIVE BARBERSHOP & BEAUTY CENTRE KWA HUDUMA NZURI NA BORA KABISA.
TUPO KINONDONI MANYANYA.