
sehemu ya kuegesha magari kwa wateja wajao BM Barbershop

mapokezi utamkuta dada huyu mrembo

Sehemu ya Mapumziko huku ukiendelea kucheki mechi za kombe Dunia

korido ya kuvutia

V.I.P

Deluxe Section

ukataji nywele kwa Fashion tofauti tofauti.

Deluxe Shampoo Section

sehemu ya kurekebisha kucha za mikono na miguu.

mwanadada akisubiri kupatika huduma.

sehemu ya Massage & Full Facial

Sehemu ya Finishing.

Mashine ya kusafishia viatu.

sehemu ya kupigiwa sop sop watoto

mtoto akiwa katulia wakati akifanyiwa sop sop.

mtoto akioshwa kwa Shampoo.
Shampoo unit VIP section

Mashine ya Kukaushia nguo

Mashine za kufulia nguo

kila baada ya miezi 4 lazima kufanya Fumigation kama aonekanavyo mtaalam huyu.
TEMBELEA BM EXECUTIVE BARBERSHOP & BEAUTY CENTRE KWA HUDUMA NZURI NA BORA KABISA.
TUPO KINONDONI MANYANYA.
No comments:
Post a Comment