Monday, May 24, 2010

KARIBU TENA MTOTO !



Chini Lee (anayenyoa) akishika mashine kiaina na kumyoa mtoto huyu ambaye tangu wazazi wake wamlete hapa , wakarizishwa na mazingira kisha wakaamua kuendelea kumleta kama walivyo mleta leo.Tunashukuru na karibuni tena.

No comments:

Post a Comment